Kiwanja chako cha ndoto, kidogo kidogo.

Tunauza viwanja vilivyopimwa, nyumba na magari. Tunapatikana mikoa tisa ya Tanzania. Lipa cash, au lipa kidogo kidogo kwa mwaka mmoja.

Hati halisiViwanja vilivyopimwaHakuna riba kwenye malipo ya awamuLipa asilimia 50 tu kuanza

Kuhusu Power Family Investment

Power Family Investment Ltd ni kampuni ya Kitanzania inayouza viwanja, nyumba na magari. Tunaamini kila familia inastahili kumiliki ardhi yake bila mzigo mzito wa malipo ya mara moja.

Tunawasaidia wateja kuchagua kiwanja salama, chenye hati halisi, na kulipa kwa mpango unaowafaa.

  • TunachofanyaUuzaji wa viwanja, nyumba na magari
  • Ofisi yetuUkumbi wa Maombi Safina, Arusha
  • MalipoCash au awamu
  • Barua pepesales@powerfamilyinvestiment.com
Mwonekano wa angani wa kiwanja kilichopimwa chenye alama za mipaka

Huduma zetu

Kutoka kiwanja tupu hadi nyumba iliyokamilika, tunakuongoza hatua kwa hatua.

Viwanja

Viwanja vilivyopimwa vya makazi na biashara, vyenye hati halisi, katika maeneo yanayokua kwa kasi.

Nyumba

Nyumba za kisasa zilizo tayari kuhamia, kwa wanaotaka kuingia moja kwa moja bila kusubiri ujenzi.

Magari

Magari yanayouzwa na kampuni yetu. Wasiliana nasi kujua aina na bei zilizopo.

Malipo ya awamu

Lipa asilimia 50 tu ukaanze, kisha maliza kwa awamu ndani ya mwaka mmoja. Au lipa cash na ukabidhiwe kwa dakika chache.

Kikoba Wekeza Kiwanja

Kwa wanakikoba na vikundi vya kuweka akiba. Changieni pamoja, mnunue kiwanja kwa malipo ya kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja.

Jiunge na Kikoba Wekeza
  • Lipa kidogo kidogoAnza kwa asilimia 50 kisha maliza kwa awamu ndani ya mwaka mmoja.
  • Bila ribaHakuna riba kwenye malipo ya awamu.
  • Kiwanja chenye hati halisiViwanja vilivyopimwa, katika mikoa tisa Tanzania.
  • Wekeza kwa pamojaWanakikoba wanachangia na kumiliki kiwanja kwa ajili ya familia na vizazi vijavyo.

Jinsi ya kununua

Hatua nne rahisi kuelekea umiliki.

  1. Tuma ombiTuandikie au tupigie, tukuambie unachotafuta.
  2. Chagua kiwanjaTembelea eneo na uchague kiwanja unachopenda.
  3. LipaCash, au asilimia 50 kisha awamu.
  4. Pokea hatiKamilisha malipo na ukabidhiwe kiwanja chako.

Tunapatikana mikoa hii

Chagua mkoa wako na tutakuonyesha viwanja na nyumba zilizopo.

ArushaKilimanjaroTangaDar es SalaamMorogoroDodomaSingidaManyaraMwanza
Nyumba za kisasa kando ya ziwa na uwanja wa kijani wakati wa jioni

Pakua application yetu

Tazama viwanja, fuatilia malipo yako na ingia kwenye akaunti yako popote ulipo.

Android

Kwa simu za Android. Pakua kupitia Google Play.

Pakua Android

iPhone

Kwa iPhone na iPad. Pakua kupitia App Store.

Pakua iPhone

Kompyuta (Desktop)

Kwa Windows na Mac. Tumia akaunti ile ile ya simu.

Pakua Desktop

Wasiliana nasi

Tuambie mkoa unaovutiwa nao na bajeti yako. Timu ya mauzo itakujibu.

Ofisi: Ukumbi wa Maombi Safina, Arusha

Barua pepe: sales@powerfamilyinvestiment.com